Search results

(21 - 40 of 75)
Vijana wa kisasa huongea wazi kati yao rec kuhusu UKIMWI. Cool friends talk openly with each other about HIV/AIDS
UKIMWI jikinge na umkinge mwenzio fanya mapenzi kitika ndoa tu
Kubadili tabia ndiyo njia pekee. Behaviour change is the only way
To win a match good defending is a must
Naishi na virusi nazingatia lishe bora
Jikinge Kutokana Na Magonjwa Ya Zinaa Tumia Mpira. Protect Yourself From Sexually Transmitted Diseases Use a Condom
Jikinge na magonjwa ya zinaa na ukimwi
Break the Silence
Linda afya yako, mlinde mpenzi wako, linda familia yako. Mwambie penzi wako kuwa una virusi vya UKIMWI. Mlete mpenzi wako katika kliniki ili apimwe kama ana virusi vya UKIMWI
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja."
Majibu ya mwenzi wako si kigezo cha kujua hali-yako ya uambukizo wa Virusi vya UKUMWI
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana!
Prevention with Positives (PWP)
Wazazi wenye busara huwakinga watoto wao dhidi ya Virusi vya HIV wakati wa uja uzito, mama anapojifungua na baada ya mtoto kuzaliwa
Avoid getting a red card. Think before you act. Avoid getting STDs/AIDS. Use a condom
Niko sawa
Matukio na ishi. Karibuni wote!
Zungumza na wanaoishi na virusi vya ukimwi kuhusu kinga ya virusi vya ukimwi.
Kupiga vita ukimwi ni wajibu wetu tuelezane na kuzuia ukimwi. To fight AIDS is everyone's responsibility. Share the information and stop AIDS
Mzazi amka! Pima Ukimwi mlinde moto na familia