Search results

(1 - 20 of 24)
Kondom Bora Na Imara. Salama, Salama, Salama. Mpya! Sasa Hupatikana
Pata ushauri nasaha na kupima afya yako ili kujua hali ya yambukizo wa Virusi vya ukimwi
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja."
Fainali ya kombe la Ishi. Panama na Milambo watachuana
[pointing family]
Ukimwi. Siuzi uhai wangu kwa jiwe! Tutumie kondomu
Ukimwi. Tujifunze ukweli kuhusu ukimwi
Kubadili tabia ndiyo njia pekee. Behaviour change is the only way
Comprehensive care for prevention of mother-to-child transmission of HIV
Mueleze! Bila salama? "Hata siku moja."
Ukweli kuhusu kondom 5. Je, ni vigumu kutumia kondom kwa usahihi? Hapana!
Matukio na ishi. Karibuni wote!
Kupiga vita ukimwi ni wajibu wetu tuelezane na kuzuia ukimwi. To fight AIDS is everyone's responsibility. Share the information and stop AIDS
Jihadhari! Bila salama? "Hata siku moja."
Wanaume na wanawake wanaambukizwa UKIMWI kwa uwiano sawa […] HIV affects both men and women
Ukweli kuhusu kondom 1. Je, Kondom hupasuka kirahisi kwa sababu si imara? Hapana!
Ukimwi. Ulevi wa pombe na madawa ya kulevya. Huondoa busara katika maamuzi. Tumia kondomu
Sote tunawajibika kuwajali na kuwahudumia wanawake wajawazito hasa walioathirika na virusi vya Ukimwi.